DODOMA: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo amemwapisha kuwa Mbunge wa Kuteuliwa, Mh. Salma Kikwete, ambaye ni mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete.
Mbunge huyo aliandamana na mumewe ambaye alisababisha kelele za shamra kutoka kwa wabunge waliokuwa wakisema: “Tumekumiss…Tumekumiss…”
KILICHOJIRI BUNGENI LEO
0 comments:
POST A COMMENT