Dar es Salaam. Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezungumzia suala la utekwaji na kusema kuwa endapo watajaribu kumteka atapiga picha kwa kutumia simu yake kwanza na kutuma kwenye mitandao ya kijamii kisha ndipo ataondoka na watekaji hao.
Akizungumza kanisani kwake leo, Gwajima alisema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiye anayejua alipokuwa mwanamuziki Roma Mkatoliki
“Nampenda sana Rais wangu, lakini huyu Bashite analeta picha mbaya. Alisema atapatikana kabla ya Jumapili maana yake unayeee,” alisema
Kuhusu ishu ya freemasom Tanzania
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima anaendelea na mahubiri yake ya kila Jumapili huku leo akiibua mada ya watanzania waliojiunga na Freemason.
Katika mahubiri hayo, Gwajima alisema wapo watanzania ambao umaarufu wao unatokana na dini ya Freemason huku akihusisha Freemason na imani za kichawi.
“Nataka kabla hujamuimba mchungaji gwajima, urudie mara mbili, natetea wafungwa, askari, walioumizwa, walioachwa, matajiri na maskini,” alisema
0 comments:
POST A COMMENT