Bodi ya mikopo ya elimu ya juu(HESLB)
Imetoa majina ya wanafunziwaliokosea kujaza fomu kwa kutoweka sain zao ama za wadhamin wao na vitu vngine.
Bodi imewataka wafike katika ofisi zao zilzopo jijini Dar es salaam kuanzia tar.03/10/2016 mwisho tar. 07/10/2016

HESLB
wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni:
- -kukosekana picha ya mdhamini
- -kukosekana sahihi ya mwanafunzi
- -kukosekana sahihi ya wakili au mahakama
- -kukosekana kwa sahihi ya serikali ya kijiji
Tafadhari tembelea LINK HII HAPA CHINI
0 comments:
POST A COMMENT