Wanafunzi wanufaika wa mkopo elimu ya juu.
"hasa wale wanaoendelea na masomo",
kuanzia jumatatu ijayo,tarehe 31/10/2016 kila
mnufaika anapaswa
kuingia kwenye akaunti yake binafsi ya HESLB
ili ajazeDODOSO lililoboreshwa zaidi kwa lengo la
kuwa na taarifa
sahihi zaidi zinazoweza kuwa
VERIFIED na vyombovya serikali kuhusu hali ya
kifedha ya mnufaika.
mnufaika anapaswa
kuingia kwenye akaunti yake binafsi ya HESLB
ili ajazeDODOSO lililoboreshwa zaidi kwa lengo la
kuwa na taarifa
sahihi zaidi zinazoweza kuwa
VERIFIED na vyombovya serikali kuhusu hali ya
kifedha ya mnufaika.
Baada ya dodoso hilo kujazwa, litahakikiwa na
ikibainika taarifa ulizotoa ni za uongo basi mnufaika
ATAPOTEZA SIFA
ya kupata mkopo wake.
ikibainika taarifa ulizotoa ni za uongo basi mnufaika
ATAPOTEZA SIFA
ya kupata mkopo wake.
Pia, kwa yoyote ambaye hatajaza DODOSO hilo pia
naye ATAPOTEZA sifa ya kuwa mnufaika.
naye ATAPOTEZA sifa ya kuwa mnufaika.
Kwa hiyo ni zoezi la VERIFICATION ya taarifa za kifedha
za mnufaika.
za mnufaika.
Muda ukifika Dodoso hilo litajieleza.
Hivyo,from next Monday every beneficiary has
to log in to his/her account.
to log in to his/her account.
Ni zoezi la muda wa mwezi mmoja tu na litaisha mwezi
Novemba,
Novemba,
hivyo kila mtu afanye hima kujaza dodoso hilo jipya.
Pia unatakiwa kuendelea kuhakiki majina yenu
kwenye sahihi hapo chini ya video
kwenye sahihi hapo chini ya video
(Kuna ya mwaka wa kwanza na wanaoendelea).
ili kujua kama upo chuo kihalali (kwa sifa na vigezo).
Zoezi hilo limeanza tayari. - hii ni kwa wanafunzi wote
KUMBUKA ZOEZI NI SIKU 30 TU
TAFADHALI, ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII
KWA UPDATES ZOTE ZA HABARINITAENDELEA KUKUPA UPDATE ZOTE KUHUSU VYUO
NA MAMBO YOTE KUHUSU SEKTA YA ELIMUCREDIT TO http://kubalyendas.blogspot.com/
0 comments:
POST A COMMENT