Usiku wa November 5, 2016 ni zamu ya Dar es Salaam ambapo mashabaki wa muziki wamekutana katika viwanja vya Leaders Club kushuhuhudia tamasha la FIESTA 2016 huku burudani zikiendelea kutoka kwenye list ndefu ya wasanii mbalimbali akiwemo,Barnaba, Raymond, Shilole, Jux, Vanessa Mdee, Christian Bella na wengineo
Shangwe hizo za Burudani zinaendelea muda huu huko katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam, zitazame hizi baadhi ya picha mtu wangu
.Gigi Money akitoa burudani ya nguvu
.Dogo Janja na Raymond wa WCB wakiwa Backstage
.Baraka The Prince akiwa Backstage
.Wasanii mbalimbali wakiwa backstage muda huu
.Barnaba akiwa kwenye stage
.Vanessa Mdee akiwa kwenye Stage akitoa burudani ya nguvu
.Nandy akitoa burudani ya nguvu
.Raymond wa WCB akiwa kwenye stage kuhakikisha mashabiki wanapata burudani ya nguvu
.Roma Mkatoliki
0 comments:
POST A COMMENT