PICHAZ+++ JAMAA AFARIKI DUNIA WAKATI AKITAKA KUWEKA RECORD YA KUVUKA MTO KWA KUTUMIA NYWELE ZAKE | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 5 November 2016

PICHAZ+++ JAMAA AFARIKI DUNIA WAKATI AKITAKA KUWEKA RECORD YA KUVUKA MTO KWA KUTUMIA NYWELE ZAKE

Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywere zake amabozo anakuwa amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo nywele zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.

Roy alianza vizuri

Hapa ndio baada ya nywele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua

Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta

Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us