Zitto Kabwe adai "Kila Wakipanga Kuniteka Wanakuta Mti wa Mrumba au Bwawa la Karosho au Ziwa Tanganyika..!!! " | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 16 April 2017

Zitto Kabwe adai "Kila Wakipanga Kuniteka Wanakuta Mti wa Mrumba au Bwawa la Karosho au Ziwa Tanganyika..!!! "


“Mwaka jana niliambiwa kuwa wabunge tunaowindwa tupo watatu, mwanzoni mwa mkutano huu wakawa saba. Wakati huu wa Bunge la Bajeti nikajulishwa kuwa tumefikia saba. Sasa naona idadi iliyotangazwa na Mheshimiwa Bashe inasema ni wabunge kumi na moja wanaotakiwa kutekwa,” .
“Nadhani ni mambo ya kupeana hofu tu. Kwanza, sijafanya lolote la kusababisha nitekwe, kuteswa na kupotezwa. Hivyo habari hizi nazidharau kwa sababu sioni sababu kwanini nitekwe.”
“Wanaweza kupanga kuniteka wakanifuata wakakuta mti wa mrumba au Bwawa la Karosho au Ziwa Tanganyika. Wathubutu tu wataona.” 

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us