Taarifa kwa waombaji wote wa nafasi za chuo, bodi ya vyuo vikuu TCU imetoa vigezo vipya vya alama zitakazomuwezesha mwombaji kujiunga na elimu ya chuo kikuu, awali ilikuwa ni GPA ya 3. 5 lakini imepungua hadi kufikia GPA ya 3. 0 ili kuwawezesha watu wengi zaidi kuapply na kupata nafasi ya kujiendeleza.
Thursday, 15 September 2016
TCU YALEGEZA VIGEZO VYA KUJIUNGA NA ELIMU YA CHUO KIKUU KWA WALIOSOMA DIPLOMA KUTOKA ALAMA ZA GPA YA 3. 5 HADI GPA YA 3.0 SOMA ZAIDI HAPO CHINIππππ
Published Under
KITAIFA
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
POST A COMMENT