
Msanii kutoka Bongoflevani Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) Leo April 21 2017 D ar es Salaam ameizindua rasmi ‘Chibu Perfume’, Perfume ambayo imetengenezewa Dubai na pia Meneja wake Salam ametangaza jinsi ya kuipata CHIBU PERFUME na Gharama yake itakayouzwa.
0 comments:
POST A COMMENT