Katika hali ya kushangaza leo katika kipindi kimoja cha redio Uhuru fm mwanamama mmoja kahojiwa na mtangazaji Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima JOSEPHAT GWAJIMA na baadaye katelekezwa.
Katika mahojiano hayo kasema yafuatayo..
👉Anasema yu tayari kupima DNA
👉Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
BOFYA HAPA KUONA VIDEO 👉👉http://www.youtube.com/watch?v=CyE_kMv0gM4[/url]
Credit: JF
0 comments:
POST A COMMENT