Katika hali inayoonesha kuwa taarifa
zinavuja kwa kasi na ishara kuwa mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system hii leo mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili.
0 comments:
POST A COMMENT