VIDEO MPYA: PROFESSOR JAY – KIBABE | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 18 March 2017

VIDEO MPYA: PROFESSOR JAY – KIBABE

KibabeProfesa Jay ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya ‘Kibabe’, iliyofanyika nchini na 

kuongozwa na muongozaji anayefanya vizuri katika tasnia hiyo hivi sasa, Hanscana.

Video inaonesha mazingira ya kuvutia ikiwa ni pamoja na eneo la mbuga za wanyama za

Mikumi, jimbo ambalo gwiji huyo amepewa dhamana na wananchi kuwa mbunge.



HII HAPA ITAZAME

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us