
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi Ukingwamizi, Une Thom kutumikia kifungo cha miaka 32 jela.
Thom (32) amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama hiyo kumtia hatiani kwa makosa mawili ya kumnajisi na kumpatia ujauzito mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 16. Msichana huyo ambaye amejifungua mtoto njiti aliyekufa baada ya kuzaliwa, alikuwa...