Hii ni picha iliyo sambaa mtandao ikimuonesha mzazi mwenza wa Mwanamuziki Diamond platnumz na ex-girlfriend wake Wema sepetu katika picha ya pamoja
Swali ni Je picha hii ni ya kweli au editing???
Tupe Maoni yako hapo chini!!!
HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
0 comments:
POST A COMMENT