MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’, ambaye hivi karibuni alihamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefunguka baada ya Msanii wa Bongo Fleva, Harmorapa kujinadi mtandaoni kuwa yupo tayari kumuoa Wema.
Wema amefunguka na kuandika kuwa anamheshimu Harmorapa kama msanii mwenzie hivyo kitendo cha kujinadi mtandaoni kuwa yupo tayari kuwa na Wema katika mahusiano si sawa ajaribu kwa watu wengine na si yeye.
Aidha Wema ameandika kuwa kitendo cha Harmorapa kujinadi ni kumchafulia heshima yake kwa jamii na kwa chama chake cha CHADEMA.
NIMEKUWEKEA VIDEO HAPA…
T
0 comments:
POST A COMMENT