KINGAZI BLOG: 2016

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News

Friday, 30 December 2016

Bella Thorne is Maybe a Little Bit Triflin’

Hope you’re ready for a blog about a bunch of people no one over 25 cares/knows about! (Except me, I’m 30, which makes my knowledge of this situation sad af). Everyone’s favourite lot lizard, Bella Thorne, has had a pretty busy year in terms of dating, not her career. Tbh, I don’t know what (if anything) is going on with her career, but her vagina has at least kept busy. First, she was dating...

The First Official Trailer for Christopher Nolan’s Dunkirk

Christopher Nolan went from superheroes to space travel and now he’s getting ready to serve us an epic World War II drama, Dunkirk. Watch the first trailer below. Maybe I went into this video expecting too much. Or maybe this is not a particularly good trailer. I feel like the short announcement trailer released back in August hit me a lot harder than this new...

Piers Morgan Mansplains to Lady Gaga and Madonna

Recently, both Lady Gaga and Madonna have come forward and publically discussed their past sexual assaults, with Gaga also revealing that she suffers from post-traumatic stress disorder as a result of hers. For the most part, people have been really supportive of these women and their revelations…then there is Piers Morgan. Piers took to Twitter to explain how ptsd is a military disorder...

Monday, 26 December 2016

Rais Magufuli Atoboa Siri ya Kula Christmass Mkoani Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania,Dk.John Pombe Magufuli,amefichua siri ya kusali Krismasi kwenye kanisa la Parokia ya Moyo wa Yesu, mjini Singida mwaka huu. Ametaja siri hiyo kuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, aliwahi kusali kwenye kanisa hilo na wakati akitoka, alikutana na sista mmoja (hamkumbuki jina) ambaye alimzawadia rozali, na kumwahidi kuwa itamsadia kushinda uchaguzi...

PICHA 14: Kutoka Vodacom Wasafi Festival Dec 25 mkoani Iringa

Ni Usiku wa Dec 25, 2016 ambapo wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka Nigeria Kcee waliiandika historia katika mkoa wa Iringa. Show hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival ilifanyika katika uwanja wa Samora Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali palipofanyika tamasha hilo. .Queen Darleen . .Rayvanny . .Harmonize .Pichani:(Kulia)...

Sunday, 25 December 2016

FARU John Huyu Hapa, Lindo lake lilikuwa Sh215,000 Kwa Kila Siku

Wakati Waziri Mkuu ameagiza kaburi la Faru John lifukuliwe na kuchukuliwa vipimo vya vinasaba kuthibitisha kama pembe alizopelekewa ni zake, mabaki yanayoaminika kuwa ni ya mnyama huyo (pichani) yameonekana yakiwa porini katika eneo la Grumeti, wilayani Serengeti alipofia. Vilevile, gazeti hili limebaini kuwa kabla ya kifo chake, Faru John alikuwa analindwa kwa gharama ya Sh225,000 kila siku. Faru...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili ya Disemba 25

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us