Chama cha Wananchi CUF chamtaka Rais Magufuli aache kutumia madaraka vibaya | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 4 September 2016

Chama cha Wananchi CUF chamtaka Rais Magufuli aache kutumia madaraka vibaya

Chama cha Wananchi CUF chamtaka Rais Magufuli aache kutumia madaraka vibaya na kumwambia stahiki anazopewa Maalim Seif zipo kisheria.

Wamesema Kitendo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kushiriki mkutano wa CCM ni ushahidi tosha kuwa tume ya uchaguzi si chombo kilicho huru.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us