Wanafunzi 24,616 kati ya 55,347 waliomaliza kidato cha sita wamekosa nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu kutokana na ushindani kwenye baadhi ya kozi, jambo lililoilazimu Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuongeza muda wa udahili.
Uamuzi huo wa TCU, unakuja siku moja baada ya kulegeza vigezo vya wanafunzi wa stashahada kujiunga na shahada ya kwanza katika vyuo vikuu mbalimbali nchini.
0 comments:
POST A COMMENT