...
Monday, 31 October 2016
PICHA ++ RAIS MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KWENYE ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI KENYA.
Published Under
KITAIFA
SHARE!
HAYA HAPA MAJINA MAPYA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU SUA 2016/2017
Published Under
BREAKING NEWS
KUYAONA MAJINA YOTE
>>BONYEZA HAPA<<
...
SHARE!
Breaking News: Bondia Thomas Mashali Auwawa,
Published Under
MICHEZO
Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taarifa zinadai kuwa alishambuliwa na wananchi baada ya madai ya kuitiwa mwizi kwa kushambuliwa na wananchi kwa madai ya kuitiwa mwizi.
Promota Siraji Kaike amesema watu aliokuwa anagombana nao walimwitia mwizi na wakapiga mapanga akawa ametupwa na bodaboda waliokuwa...
SHARE!
Habari kuu Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Octoba 31
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Sunday, 30 October 2016
MPYA: BODI YA MIKOPO KUANZA TENA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KWA WANAOKATA RUFAA NA WALIOKOSA.
Published Under
BREAKING NEWS
Bodi ya mikopo ya vyuo vikuu imetangaza kuanza kupokea tena maombi ya mikopo kwa wanafunzi waliokosa mna wale wanaokata rufaa, akizungumzana waandishi wa habari Mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya vyuo vikuu ABDULRAZAQ BADRU, amesema bodi hiyo itaanza awamu nyingine ya kupokea maombi ya mikopo kwa ili wote walio na vigezo vya kupata mkopo wapate na waweze kusoma vizuri.
Abdul-Razaq Badru, mkurugenzi...
SHARE!
BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA,BASI SAFARI NJEMA LATEKETEA KWA MOTO KIMARA STOP OVER LEO BAADA YA KUGONGANA NA LORI USO KWA USO, PICHA NA VIDEO.
Published Under
BREAKING NEWS

Basi lenye namba za usajili T990 AQF la kampuni ya Safari Njema liililokuwa likitokea Dodoma kuja jijini Dar, limeteketea kwa Moto maeneo ya Kimara Stop Over-Suka,mara baada ya kugongana na Lori lililokuwa limebeba shehena ya mifuko ya Cement (namba zake za usajili hazikujulikana mara moja),jioni ya leo,Inaelezwa kuwa mali zote zilikowemo katika basi vimeteketea kabisa kwa moto,hali ya...
SHARE!
NILAMBE HUMO HUMO ===7
Published Under
SIMULIZI
chombezo: nilambe humohumoMTUNZI: HUSSEIN WAMAYWA
SEHEMU YA SABA
Nikijua mtego ndio unakaribia kufyatuka, sikumgusa!Badala yake nilikwapua mwanamke mwingine nikatokomea nae migombani na kwenda kuneng’eneka nae, Nikamuacha Havijawa pale pale uwanjani. Mwanamke niliyemchukua hakuwa haba, alikuwa bora kwa kila hali.Nikamuuliza kama ameolewa akasema bado, nikamuomba niwe mgeni wake kwa siku hiyo...
SHARE!
PICHAZ+++ HUYU HAPA NDIYE MISS TANZANIA MWAKA 2016
Published Under
TOP STORIES

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wananchi wa Jiji la Mwanza mara baada ya kutangazwa Mshiindi wa Miss Tanzania 2016 Jijini Mwanza Leo wakati wa Kuhitishimisha hindano la Miss Tanzania 2016.
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward katikati akiwa na mshindi wa pili na watatu Grace Malikita na Maria Peter mara baada ya...
SHARE!
Hivi ndivyo Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Published Under
MAKALA

Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa ya kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na yenye mahitaji makubwa katika jamii.
Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hiyo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi.
Hata hivyo, utafiti unaonesha kuwa wengi kati...
SHARE!
MAMBO 6 YAKUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
Published Under
MAKALA
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika mahusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya awali wakati mnaanza mapenzi yenu. Wanawake wengi wanalalamika kuwa hawaoni upendo ule waliouzoea zamani wakati mapenzi yanaanza. Hata wanaume wengine wanalalamika pia kuwa penzi limeteremka kiwango baina yao.
Mara zote hushuka huku kwa ukaribu (intimacy) hakupangiliwi au kutazamiwa bali...
SHARE!
MPYA: BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU TANZANIA IMETANGAZA RASMI KWA WANAFUNZI WOTE WALIOOMBA MKOPO KUANGALIA SASA MIKOPO WALIYOPANGIWA 2016/2017
Published Under
BREAKING NEWS
>>>BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YOTE YA MKOPO<<<
N.B.
NAMBA YAKO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE INAHITAJIKA&nbs...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)