Taarifa Kwa Waombaji Wa Mikopo Ya Elimu ya Juu (HESLB ) Kuhusu Kumalizika Kwa Zoezi La Kurekebisha Taarifa Za Waombaji | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 11 October 2016

Taarifa Kwa Waombaji Wa Mikopo Ya Elimu ya Juu (HESLB ) Kuhusu Kumalizika Kwa Zoezi La Kurekebisha Taarifa Za Waombaji

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekamilisha zoezi la kurekebisha fomu za maombi ya mikopo kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Zoezi hilo lilianzatarehe 3 na kumalizika tarehe 7 Oktoba 2016.
 

Kwa sasa Bodi inaendelea na hatua za awali za upangaji wa mikopo ambapo taarifa za wanafunzi watakaopangiwa mikopo zitatolewa kwenye tovuti ya Bodiwww.heslb.go.tz siku chache zijazo.
 

NB: Bodi inawakumbusha waombaji mikopo wote kuwa makini na watu wasio waaminifu wanaoweza kutumia fursa hii kujipatia fedha isivyo halali.
 

Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano,
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us