Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekanusha taarifa zilizoenea kwamba Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amezuia Wanafunzi wenye Stashahada (Diploma) kujiunga na masomo ya Shahada (Degree) katika vyuo vikuu.
Taarifa kamili inapatikana kwenye hii video hapa chini….
TOA MAONI/COMMENT YAKO HAPA CHINI
0 comments:
POST A COMMENT