Naibu waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia Eng. Stella Manyanya alilazimika kusimama bungeni Dodoma kujibu swali la Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto aliyetaka kujua kwanini hadi sasa kuna baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu hawajapewa mikopo, tazama hii video hapa chini
U
0 comments:
POST A COMMENT