Kuna aina kadhaa ya viungo ambavyo huweza kupunguza tatizo la uzito uliokithiri endapo vitatumika vizuri.
Zifuatazo ni aina za viungo ambavyo huweza kupunguza uzito uliokithiri:-
1. Mdalasini
2. Pilipili Manga.
3. Binzari/ Manjano.
4. Tangawizi
5. Hiriki
0 comments:
POST A COMMENT