Habari zilizoenea ni kwamba maarufu kwa sababu ya Umbo lake , anayefahamika kaama Agness Masogange tayari amekamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu madawa ya kulevya na tayari yupo kituo kikuu cha polisi ya Central kwa mahojiano ambayo yamedumu kwa saa 10 na bado akishikiliwa kwa uchunguzi na polisi.
Ikimbukwe kuwa Mrembo huyo alishawahi kukamatwa katika uwanja wa ndege wa Oliver tambo South Afrika kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya alizokutwa nazo kwenye mizigo aliyokuwa nayo na yeye kujitetea kuwa yeye hajui lolote ila huo ni mzigo aliyoagizwa na mtu asiyemfahamu kwa jina ila anamfahamu kwa Sura.
Kukamatwa kwake kunatokana kampeni nzito inayoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda akishirikiana na Jeshi la polisi kutokomeza dawa za kulevya pamoja na biashara hiyo kwa ujumla hapa Tanzania
Hivi ndivyo makalio ya kichina yanavyotengenezwa
Hivi ndivyo makalio ya kichina yanavyotengenezwa
0 comments:
POST A COMMENT