Hali imezidi kuwa tete kwa mwenyekiti wa klabu ya Yanga YUSUPH MANJI baa da ya kuendelea kukumbwa na kadhia mbalimbali kipindi ikiwemo ya kutajwa katika orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya hapa nchini.
Hali ya afya yake ilibadilika ghafla juzi wakati akiendelea na mahojiano na polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili hali iliyopelekea kukimbizwa na gari la wagonjwa mpaka Taasisi ya Moyo Ya JAKAYA KIKWETE ndani ya Hospitali ya muhimbili.
Huku akiendelea na matibabu, Askali wa uhamiaji walifika katika ofisi zake na kufanya ukaguzi na upekuzi na kukuta PASSPORT za raia wa kigeni 126 ambazo zinaonekena ni wafanya kazi wake ambao amewaajili bila kibali cha kuishi bila kibali kutoka idara uhamiaji ambavyo ni kinyume cha sheria.
ZAIDI BOFYA VIDEO HAPA CHINI
0 comments:
POST A COMMENT