MUNGU SI ATHUMANI!!! HEBU JIONEE PICHA YA MTOTO ALIYEOKOLEWA KUTOKA KATIKA HALI MBAYA MTAANI ALIVYO SASA HIVI | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 5 February 2017

MUNGU SI ATHUMANI!!! HEBU JIONEE PICHA YA MTOTO ALIYEOKOLEWA KUTOKA KATIKA HALI MBAYA MTAANI ALIVYO SASA HIVI

Sura ya furaha inaendelea kuonekana kwa mtoto Hope aliyechukuliwa mtaani nchiniNigeria wakati huo akiwa na miaka miwili baada ya kuachwa na Wazazi wake ikisemekana ni Mchawi.

Inasemekana alitelekezwa na familia yake kwa sababu walidhani yeye ni mchawi ambapo baadae akapatikana mtaani na kuchukuliwa na Mwanamke raia wa Denmark Anja Ringgren Loven aliyejitolea kumlea na kuishi nae.

Baada ya kuchukuliwa kutoka mtaani January 2016 picha mbalimbali zimekua zikitoka zikionyesha maendeleo ya Hope akionekana amenawiri kiafya na hata shule anasoma.

Hapa chini ni picha zake za kabla na baada ya kuokotwa…

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us