VIDEO: HIVI NDIVO 40 YA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI ILIVYOKUWA... | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 12 February 2017

VIDEO: HIVI NDIVO 40 YA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI ILIVYOKUWA...



 Msanii wa muziki Diamond Platnum Jumamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, 
mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.

Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya mwanamama Zari na tangu kuzaliwa kwake, hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata siku moja mpaka siku ya arobaini yake.













VIDEO YA TUKIO ZIMA HII HAPA CHINI.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us