Mashehe, Wasanii Watinga Kanisa la Askofu Gwajima | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 26 March 2017

Mashehe, Wasanii Watinga Kanisa la Askofu Gwajima

WASANII wa Vichekesho nchini Mussa Kitale na Stan Bakora, wameungana na mashehe leo kwenye ibada katika kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima jijini Dar es Salaam.

Wasanii wa vichekesho wakiingia Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us