Waziri Adai Ripoti ya Ukaguzi wa Vyeti Feki Haijawagusa Wakuu wa Mikoa an mawaziri | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 28 April 2017

Waziri Adai Ripoti ya Ukaguzi wa Vyeti Feki Haijawagusa Wakuu wa Mikoa an mawaziri

Mheshimiwa Angela Kairuki, Waziri wa Nchi wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora (akikabidhi ripoti ya Vyeti kwa Rais Chuo Kikuu Dodoma) amesema "Uhakiki huu haujafanyika kwa viongozi wa Kisiasa ambao wako serikalini kama vile Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao mamlaka ya uteuzi ndio wanajua ufanisi wa kazi zao na pia katika Siasa suala ni kujua kusoma na kuandika."

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us