Shirika la ndege la Ujerumani la Lufthansa kwa upande wake lilipiga marufuku Jumanne matumizi ya smartphones Galaxy Note 7 za Samsung katika ndege zake.
Shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines limefahamisha pia kwa upande wake Ijumaa kuwa linapiga marufuku Galaxy Note 7 katika ndege zake kwa kuhofia ya kwamba zinaweza kusababisha moto kuzuka.
Hatuo hiyo imechukuliwa kutokana na hitilafu katika betri la simu aina ya Samsung Galaxy Note 7.
0 comments:
POST A COMMENT