Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli jana wakati akitoa hotuba yake baada ya kumaliza zoezi zima la kumuapisha Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Aligusia masuala kadhaa likiwemo suala la madawa ya kulevya na wahusika wake.
Rais alisema Serikali na vyombo vyote vya dola vinatakiwa kupambana na suala hili na kukamata yeyote anayehusika na uuzaji ana usambazaji ana utumiaji wa madawa ya kulevya hapa nchini bila kuangalia umaaraufu alionao mhusika, cheo chake, mtoto wa fuklani N.K
ZAIDI HEBU TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

0 comments:
POST A COMMENT