MPYA : Isome Barua Aliyoandika TUNDU LISSU kwa Magufuli Kuhusu Sakata la Makonda | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 21 March 2017

MPYA : Isome Barua Aliyoandika TUNDU LISSU kwa Magufuli Kuhusu Sakata la Makonda

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amemuandikia waraka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli.

Hii ni barua ya kwanza ya Tundu Lissu kama Rais wa TLS kwenda kwa Rais, ikumbukwe kuwa Rais hapo jana alisema hataki kuambiwa nini cha kufanya kwa sababu yeye ni Rais anayejiamini, na hapangiwi nini cha kufanya. Tusubiri tuone Matokeo ya hili

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us