Watumishi Wa umma kutopanda Madaraja bila Kupitia Kozi, Mafunzo Maalum. | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday, 27 March 2017

Watumishi Wa umma kutopanda Madaraja bila Kupitia Kozi, Mafunzo Maalum.



Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi Angellah Kairuki akiwa kwenye kituo cha Utumishi Mkoani Mbeya.
Amesisitiza kwamba, utaratibu huo utaanza mapema iwezekanavyo na kuwataka Watumishi wa Umma kufuata utaratibu utakaoainishwa.

Chanzo: ITV

Jamii forums


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us