Mastaa hawa huutumia mtandao wa Kijamii wa instagramu kuonyesha zaidi maungo yao na zisizo na maadili kuliko chochote, kuna wakati Mtandao huu ulifikia hatua ya kuwafungia akaunti zao lakini ndio kwanza wanazidi kufungua account mpya,
Tabia hii ya kutupia picha za nusu uchi mtandaoni imekuwa ikishabikiwa sana na watu wengi kutoka pande zote za dunia hali inayopelekea kuweza kufahamika zaidi na kujizolea umaarufu mkubwa mtandaoni,
Pia kuna wakati ilisemekana baadhi ya Mastaa hawa ni miongoni mwa wacheza filamu za ngono hivyo wanaweka picha hizo ili kuwa vutia wateja wa filamu hizo. Hebu ona baadhi ya picha hizo
0 comments:
POST A COMMENT