Mashabiki wengi wa Mwimbaji wa bongoflevaDiamond Platnumz walikua wanasubiria hii siku Diamond apost picha ya mtoto wake wa pili aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliepata nafasi ya kuona sura yake.
Wengi walikua wanasubiria kumuona wajue kama kafanana na Baba au mama? sasa picha zenyewe ndio hizi na ukishamaliza kuzitazama usiache kuniandikia mfanano ukoje
0 comments:
POST A COMMENT