SIRARI: Mzee wa Miaka 78 Ajiunga na Darasa la Kwanza..!!! | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 25 April 2017

SIRARI: Mzee wa Miaka 78 Ajiunga na Darasa la Kwanza..!!!


Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho.

Huko Sirari Mkoani Mara Mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la kwanza mara tu baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya awali.

Mzee Nyamhanga Seguta alifikia uamuzi huo baada ya kuteseka sana na mahesabu katika biashara yake ya kuuza ndizi.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us