BREAKING NEWS : PICHA Kikosi Maalumu cha Makomando US, waanza mazoezi ya Kuvamia na Kuharibu Silaha za Maangamizi NK | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 20 May 2017

BREAKING NEWS : PICHA Kikosi Maalumu cha Makomando US, waanza mazoezi ya Kuvamia na Kuharibu Silaha za Maangamizi NK

[​IMG]
[​IMG]
[​IMG]
[​IMG]
Makomando wa kimarekani Wamemaliza DRILL ya Zoezi maalumu liitwalo "Warrior Strike 7" huko South Korea katika mji wa uijeongbu kambini kwao Stanley.....

Zoezi hilo limehushisha meli za kivita za korea kusini, na mazoezi ya kupambana ufukweni.
REjereo
RT


My take
Wakuu, tusiilaumu US, kwa wanachokifanya duniani. Tukumbuke kabla ya WW2. Wamarekani walijitenga na mambo ya kidunia na kufanya yao. Sasa ni dunia ndio iliyoiita na kuishinikiza ijiingize kwenye mambo ya kidunia wakiaza na WW2. Kuna haja ya kuwaacha waendelee na yao kwa faida ya Taifa lao.

SOURCE
JAMII FORUMS 

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us