Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 WATIMULIWA RASMI UANACHAMA WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF). Wengine wapewa onyo kali.
HAYO NI MAAMUZ YA BARAZA KUU LILILOKETI LEO HUKO ZANZBAR.
KWA TAARIFA ZAIDI FUATILIA PRESS CONFERENCE YA CHAMA KESHO SAA 5 ASUBUH ITAKAYOSOMWA NA MHE. MAZRUI
Wabunge Magreth Sakaya na Mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama
Monday, 29 August 2016
BREAKING NEWZZZ : Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine kadhaa watemwa
Published Under
KITAIFA
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
- Next JINSI YA KUZUIA NA KUTIBU KUHARISHA WAKATI UNAPOKUWA SAFARINI.
- Previous Mbunge Godbless Lema aeleza kwanini amekataa kula chakula kwa saa 48 rumande.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
POST A COMMENT